Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
 
Nina vitabu vya spanish natamani kuvitafsiri kwenda kiingereza na zna michoro pia kuna uwezekano hapo wa kuvitafsiri maana ni vya ufundi kwahiy kunakuwa na michoro na maelezo ya kispanish natamani yawe kiingereza
 
Inawezekana mkuu kama ni vikubwa sana kuanzia 9MB ukubwa wake kwenda juu Bei 10,000 Tsh kimoja, nicheki WhatsApp/sms/call 0756704145
 
Safi sana,unafanya piracy unapata riziki yako.

Siku ukitafsiri cha Ngugi wa Thiong"o kwenye kava weka picha yake na ya kwako ukiwa unamzomea.
 
Piracy inategemea na kitabu kimechapishwa mwaka gani, kama kipo kwenye public domain inaruhusiwa kukisambaza, huwa na fwatilia kama ni copyrighted free
 
Kwa kutumia translater ya Google kiswahili kinakuwa hakieleweki kbsa.
 
Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145

AI Imerahisisha sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom