BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Natafta mrembo awe na shingo ya twiga mwenye kuringa kama kinyonga mweusi kama chocolate , miguu kama ya wolper, mrefu kama wema sepetu, mnene kama tedi, mcheshi kama anti ezekiel , awe kama macho ya kulegea kama shenaizer, awe na sauti nyororo ya kunirusha roho. Kama yupo ani PM tafadhali.
utachanganyikiwa bure kakaNatafta mrembo awe na shingo ya twiga mwenye kuringa kama kinyonga mweusi kama chocolate , miguu kama ya wolper, mrefu kama wema sepetu, mnene kama tedi, mcheshi kama anti ezekiel , awe kama macho ya kulegea kama shenaizer, awe na sauti nyororo ya kunirusha roho. Kama yupo ani PM tafadhali.