BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Natafta mrembo awe na shingo ya twiga mwenye kuringa kama kinyonga mweusi kama chocolate , miguu kama ya wolper, mrefu kama wema sepetu, mnene kama tedi, mcheshi kama anti ezekiel , awe kama macho ya kulegea kama shenaizer, awe na sauti nyororo ya kunirusha roho. Kama yupo ani PM tafadhali.