Natafta Kazi ya kuajiriwa

Natafta Kazi ya kuajiriwa

Ukiwa desperate wa kupata ajira kila kazi unakua tayari kuifanya ila ukweli ni kwamba kuna kazi ngumu ambazo kulingana na mazingira ulio kulia huziwezi, mfano mimi nikiwa nje kuna kazi za kupakia tiles kwenye container ya 40ft nilitema mzigo hapo hapo, mimi naturally kazi za kutumia nguvu nyingi akili kdgo (Labour intensive) siziwezi, ntakufa na njaa, bora kijana utowe mfuano wakazi unazo pendelea kwanza, ili tujitathimini jinsi ya kukusaidia.
n kwel usemalo ila mimi kwa sasa ningepata kaz yoyote ambayo ningesema nifanye ingelikuwa bora sina sabab ya kubagua kazi kikubwa isiwe haramu katika jamii na iwe kazi ilio salama tu.nitafanya
kuna vitu mtu unaweza kuongea ila inakubid utulie tu
mimi kama mimi namlaum mtu alie leta wazo la kufanya share kwenye biashara leo hii nimeoshwa sina ham mpk naishiwa matumain ya kuamini katika biashara yaan bora ata niajiliwe kaz ya ujenz iwe kuuza sijui nn ata iwe ya kebeba mizigo mie nifanye tu.sijachagui kaz kikubwa iwe salama tu katika jamii
unapatikana mkoa gan wewe
dar mbuyuni
 
Back
Top Bottom