Natafta Kazi ya kuajiriwa

n kwel usemalo ila mimi kwa sasa ningepata kaz yoyote ambayo ningesema nifanye ingelikuwa bora sina sabab ya kubagua kazi kikubwa isiwe haramu katika jamii na iwe kazi ilio salama tu.nitafanya
kuna vitu mtu unaweza kuongea ila inakubid utulie tu
mimi kama mimi namlaum mtu alie leta wazo la kufanya share kwenye biashara leo hii nimeoshwa sina ham mpk naishiwa matumain ya kuamini katika biashara yaan bora ata niajiliwe kaz ya ujenz iwe kuuza sijui nn ata iwe ya kebeba mizigo mie nifanye tu.sijachagui kaz kikubwa iwe salama tu katika jamii
unapatikana mkoa gan wewe
dar mbuyuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…