Natafta mchumba

Ontama

Senior Member
Joined
Jul 24, 2019
Posts
136
Reaction score
96
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,mimi nikijana mwenye umli 36 natafta mchumba wa kike,haijalishi nidinigani Jambo muhimu awenimuelewa mkalimu asiye nagubu nazaidi ya yote asinipenda Sana ila aipende ndoa yake,aliye tayari tutaftane ili tuyajenge,ila umliwake usizidi miaka 34
 
Hutaki akupende sana??? Au typing error afu future husband matumizi ya r na l ni changamoto kiasi eeh, ila ntakuvumilia, nakuja pm soon
Nenda haraka pm kwake ukamfanye mtu wa kitofauti., Ila usimpende saana .[emoji23]
vile vile usisahau kumkumbusha matumizi ya kuacha nafasi aandikapo sentensi...
 
Nenda haraka pm kwake ukamfanye mtu wa kitofauti., Ila usimpende saana .[emoji23]
vile vile usisahau kumkumbusha matumizi ya kuacha nafasi aandikapo sentensi...
Hataki kupendwa sana eti ,kwani Mimi Dada yake au mke wake[emoji3] , najiona sina vigezo tayari maana ntampenda sana ikawa shida akaniachaa
 
Inamaana huyu mtafuta mke hafungamani na dini yoyote hapa Bongo
 
Ngachoka mimi sana.

🤣🤣🤣🤣Asinipende sana.

Leo naona marue rue tu na mpaka Eid ipite tushanyooka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…