Mbona hujaeleza ni mtaji wa Tshs ngapi unaouhitaji?Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nina eneo la heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima. Naombeni msaada sana ( 0684101707 )
Ooh okay sawa, hongera kwa kupewa shamba...kwahiyo wahitaji kupewa na mtaji AishaHizo heka za shamba nimepewa tu za kulima sio zangu,
Yaani sister umekuja jamii forum kuomba 10M daah hata uogopi unaitaja tu hiyo 10M😠 sizan kama kuna mtu anaweza kutoa pesa zake kirahisi hivyoMilioni kumi naweza anzisha hiyo biashara, maana eneo halina hata nyumba ya kuishi hata kisima
🤔 Duh kwahiyo wanajf tukuchangie milion 10Milioni kumi naweza anzisha hiyo biashara, maana eneo halina hata nyumba ya kuishi hata kisima
Akili ndogo wewe mjinga mmojaMtaji unao ni vile tu haujataka kuchosha akili, katika hizo heka kumi na moja, kata heka 3 uza upate mtaji wa pesa.....
Unaotuomba mtaji wenyewe tumechoka vibaya mno tumebakiza midomo tu.
Watu wajinga Kama nyie mnaitumia hii platform vibaya .🤔 Duh kwahiyo wanajf tukuchangie milion 10
We ambae sio mjinga huo ushauri wako wa project propasal uko wapi???Watu wajinga Kama nyie mnaitumia hii platform vibaya .
Kitu ambacho ungemshauri ni kumwambia aandae project proposal ambayo itaonesha the all costs
Then kupitia hiyo proposal watu waone how they will be benefited from that project
Ili watu watoe hela baada ya kuhakikishiwa returns zao with interest
Majibu Kama yako yanaashiria jinsi ambavyo ni useless person ambaye haujitambui
We akili kubwa sana hongera.....hata comment yako inaonesha big brainAkili ndogo wewe mjinga mmoja
Nadhani ingekuwa ni vyema kama ungeeleza vizuri ni:-Sivyo ulivyoelewa wewe, siombi hela jf.. labda ungeuliza kwa undani
si mchezowenyewe tumechoka vibaya mno tumebakiza midomo tu
Hizo ndiyo hesabu zetu watoto wa Dar es salam hatuamini kwenye kuanza na kidogo .🤔 Duh kwahiyo wanajf tukuchangie milion 10