Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ni mimi unaniita dada? Au unasikilizia christmas ipite? 😹Hizo ndiyo hesabu zetu watoto wa Dar es salam hatuamini kwenye kuanza na kidogo .
Anyway ,vipi dada Christmas naweza kuja kwako walau nipate paja la kuku na kasoda ka Pepsi ?