Kwa nini umeji limit kwa wazungu tuu? Huoni umejipunguzia chances?Elimu yangu form 6 natafta mzungu wa kufanya nae kazi yan ye awe mkuu wangu aniajiri kazi yoyote
Kwa jinsi ulivyo jieleza, nadhani utaishia mutafunwa tu.Elimu yangu form 6 natafta mzungu wa kufanya nae kazi yan ye awe mkuu wangu aniajiri kazi yoyote npo mwanza
i can't be thatKwa jinsi ulivyo jieleza, nadhani utaishia mutafunwa tu.
Unaweza jiskia kama nimekutweza, lakini huo ndio ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha matan am seriousNipo mimi mzungu wa roho.
You are not serious Lily Cuteokay
Ooohh..am serious 0762739590
wanaojuana na wazungu waniunganisheKuna wazungu jf kwan
Kwanza ebu tafasiri kwa kiswahili ulicho kiandikai can't be that
Siwezi kuwa hivyo