Natafta mzungu wa kufanya nae kazi

Natafta mzungu wa kufanya nae kazi

Kuna mheshimiwa anataka akupe kazi ila anataka ueleze kwa nini boss mzungu chaguo la kwanza.
 
Wazungu saa hizi Ni choka mbaya,,kula yenyewe imekuwa shida
 
Najua kakosea...ila kama mtu unaweza msaidia mtoa mada shida yake si umsaidie tu... Kwan hapo alipochapia wewe hujamuelewa...,if you're willing to help then you do it else leave room for those who're willing to do so.
Mimi nilikomenti kwa kibantu, kisha wewe ukani nijibu kwa lugha ya bepari. Bahati mbaya sana, hiyo lugha uliyo itumia wewe sikuwa nimeielewa na kisha nikakuomba tafasiri yake kw kibantu.
Haya niambie wapi nimekosea ili nikuombe radhi na nijirekebishe.

Na..... Mimi ni mgeni huko kuhusu kunsaidia kupata mzungu yeyote, ili awe boss wake, kwa kazi yeyote. Hivyo siwezi kumsaidia kwasababu sina uwezo wa kufanya ambacho mleta mada anakihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mleta mada mkuu
Na wala hujanikosea
Mimi nilikua nakuambia tu ungemsaidia na si kumkosoa lugha yake. Na hata hivyo hujaqoute mada yake ila umeqoute comment yake nyingine kabisa. Hivyo mada ilikuwa inaeleweka vizuri tu.
Na mwisho nimekujibu kibepari sababu unajua kibepari ndo maana nilipoweka tafsiri ya ile sentensi kwa kiswahili ukaigomea.
Tujibu watu maswali yao bila kujali mapungufu yao...kama mtu kakosea mchukulie hivyohivyo au mrekebishe... Ni hayo tu.
Case closed.
 
Elimu yangu form 6 natafta mzungu wa kufanya nae kazi yan ye awe mkuu wangu aniajiri kazi yoyote npo mwanza. Nina uzoefu wa computer, customer care, shopselling, usafi na kazi zingine za kawaida pia, ata mzungu asipopatikana ata mtu yeyote nipo tayari anipatie kazi.0762739590
Wazungu tupo KARANTEEN ya siku 14 huku Italy kama unaweza njoo.
 
Back
Top Bottom