Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
ndio babu
Haya twende PM chapchap sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio babu
weee weee namkunyunga kama simjui vileKijana taratibu bado sijakagua hapo. Usidanganywe na ID yake, waeza kuta ni dume linanyemelea wake zetu humu kijanjajanja kwa kutumia mbeleko pendwa ya ucha Mungu. stuka kijana., Think!!!!
Safi kijana naona mafunzo yamekuingia....kumbe depo pamekuivisha.Weka picha tuone.
Afu kuna jukwaa la dini kule. Hapa chitchat hakuna udini. Tunabanjuana kwa raha zetu. Tunanyang'anyana wapenzi bila shuruti. Yani full kujiachia isipokuwa ushoga na usagaji.
Baada ya kusema hayo, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague kikristo ili ujiunge kwenye timu yetu pendwa ya mabazazi ya ukweli.
cc KakaKiiza kwa taarifa na angalizo.
Weka picha tuone.
Afu kuna jukwaa la dini kule. Hapa chitchat hakuna udini. Tunabanjuana kwa raha zetu. Tunanyang'anyana wapenzi bila shuruti. Yani full kujiachia isipokuwa ushoga na usagaji.
Baada ya kusema hayo, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague kikristo ili ujiunge kwenye timu yetu pendwa ya mabazazi ya ukweli.
cc KakaKiiza kwa taarifa na angalizo.
weeeh kibabu asprin una mambo weye!!
Afu we sijamalizia kukukagua. hebu kam zis wei without.
Kama kuna kidemu kinakusumbua huju just inbox me kwa PM. Ntakupa wasifu wake na kama vipi nakuletea mpaka home. We kazi yako ni kumchujia protini tu. Ila ndo ujue kuna malipo hapo.
Without naniliu ili tusipoteze muda.
Ok babu nitakuja pm ila nami pia unipeleke kwa koleji ya ukaguzi kwani naona unafaidi sn.
Babu Asprin najuta kukaguliwa nawewe.
Unanichafulia CV yangu ujue. Rudi nyuma shetani.
Haya bhana leo nimekuwa shetani. Powa utaona wewe
Bantu lady umefika mpaka huku ona sasa amekutusi nani huyo kakosa adabu kiasi hiki ngoja ni dili naye uwe unatulia nyumbani mambo ya kuzurura ndio unakutana na vidudu mtu!Haya bhana leo nimekuwa shetani. Powa utaona wewe
Utanifanya nini? Sanasana utanibania na uchoyo wako.
Haya twende PM chapchap sana.
Bantu lady umefika mpaka huku ona sasa amekutusi nani huyo kakosa adabu kiasi hiki ngoja ni dili naye uwe unatulia nyumbani mambo ya kuzurura ndio unakutana na vidudu mtu!
Ooh asante afadhali unitetee yaani km naanza kukupenda vile. Ila ana mdomo mchafu huyo ukimuweza nitafurahi sana