natafta rafiki mkristo

natafta rafiki mkristo

Kijana taratibu bado sijakagua hapo. Usidanganywe na ID yake, waeza kuta ni dume linanyemelea wake zetu humu kijanjajanja kwa kutumia mbeleko pendwa ya ucha Mungu. stuka kijana., Think!!!!
weee weee namkunyunga kama simjui vile
 
Weka picha tuone.

Afu kuna jukwaa la dini kule. Hapa chitchat hakuna udini. Tunabanjuana kwa raha zetu. Tunanyang'anyana wapenzi bila shuruti. Yani full kujiachia isipokuwa ushoga na usagaji.

Baada ya kusema hayo, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague kikristo ili ujiunge kwenye timu yetu pendwa ya mabazazi ya ukweli.

cc KakaKiiza kwa taarifa na angalizo.
Safi kijana naona mafunzo yamekuingia....kumbe depo pamekuivisha.
 
Last edited by a moderator:
Weka picha tuone.

Afu kuna jukwaa la dini kule. Hapa chitchat hakuna udini. Tunabanjuana kwa raha zetu. Tunanyang'anyana wapenzi bila shuruti. Yani full kujiachia isipokuwa ushoga na usagaji.

Baada ya kusema hayo, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague kikristo ili ujiunge kwenye timu yetu pendwa ya mabazazi ya ukweli.

cc KakaKiiza kwa taarifa na angalizo.

weeeh kibabu asprin una mambo weye!!
 
Last edited by a moderator:
Afu we sijamalizia kukukagua. hebu kam zis wei without.

aaah nlikupga chenga mie we kibabu,nan anataka akaguliwe na kibabu penda penda! Ningetoka mzma kwel mie?
 
Kama kuna kidemu kinakusumbua huju just inbox me kwa PM. Ntakupa wasifu wake na kama vipi nakuletea mpaka home. We kazi yako ni kumchujia protini tu. Ila ndo ujue kuna malipo hapo.

Ok babu nitakuja pm ila nami pia unipeleke kwa koleji ya ukaguzi kwani naona unafaidi sn.
 
Ok babu nitakuja pm ila nami pia unipeleke kwa koleji ya ukaguzi kwani naona unafaidi sn.

Hilo ondoa shaka hasa ukizingatia nimezidiwa. Foleni ni kubwa sana.
 
Haya bhana leo nimekuwa shetani. Powa utaona wewe
Bantu lady umefika mpaka huku ona sasa amekutusi nani huyo kakosa adabu kiasi hiki ngoja ni dili naye uwe unatulia nyumbani mambo ya kuzurura ndio unakutana na vidudu mtu!
 
Last edited by a moderator:
Bantu lady umefika mpaka huku ona sasa amekutusi nani huyo kakosa adabu kiasi hiki ngoja ni dili naye uwe unatulia nyumbani mambo ya kuzurura ndio unakutana na vidudu mtu!

Ooh asante afadhali unitetee yaani km naanza kukupenda vile. Ila ana mdomo mchafu huyo ukimuweza nitafurahi sana
 
Last edited by a moderator:
Ooh asante afadhali unitetee yaani km naanza kukupenda vile. Ila ana mdomo mchafu huyo ukimuweza nitafurahi sana

Mwambie aje huku nimwone hata angekuwa na mdomo wa kuhifazia kinyesi juu yako nitaushona aahggrryh!
 
Back
Top Bottom