Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Changamoto ndo hua inaanzia hapa. Mbwa anafungiwa bandani kutwa nzima anafunguliwa usiku saa 4 na shamba boy asubuhi jua likichomoza bandani tena kila siku.Wanabongo watu wa ajabu sana unafunga mbwa lakini huonani naye,hao mbwa wanapenda sana michezo kama hachezi nae hukai naye jiandae siku akikasirika.
Mwishowe anashindwa ku socialize na members wa familia.
Mind u kwa mbwa wengi miezi ya 2- 4 ndo umri sahihi wa kumtrain a socialize na watu ukichelewa hapo inakua changamoto kidogo
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app