Natafuta aina hii ya mbwa

Natafuta aina hii ya mbwa

Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389

Mi nina jamaa yangu anao wawili msosi wake kila siku ni nyama kilo 7 huyo ni mbwa mmoja.ila yeye kwa sasa ana nunua yale ma ronya ronya ya tumboni kule machinjioni anachanyanya na mchele ndo anawapikia
 
Hilo likikasirika kama huna manati ya mzungu linkutanguliza fasta

Kidogo limtoe roho jamaa angu Mungu saidia alikuwa na manati ya mzungu akalitanguliza

Hivi kingunge sio kama hao walimla?
 
Huyo mbwa hana tofauti na fisi nakushauri chukuwa fisi ukimfundisha anakuwa kama huyo mbwa.
 
Back
Top Bottom