Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Changamoto ndo hua inaanzia hapa. Mbwa anafungiwa bandani kutwa nzima anafunguliwa usiku saa 4 na shamba boy asubuhi jua likichomoza bandani tena kila siku.Wanabongo watu wa ajabu sana unafunga mbwa lakini huonani naye,hao mbwa wanapenda sana michezo kama hachezi nae hukai naye jiandae siku akikasirika.
Sio utani bruh tahadhari pia ni muhimuHii ndo comment ya kibongobongo.
Changamoto ndo hua inaanzia hapa. Mbwa anafungiwa bandani kutwa nzima anafunguliwa usiku saa 4 na shamba boy asubuhi jua likichomoza bandani tena kila siku.
Mwishowe anashindwa ku socialize na members wa familia.
Mind u kwa mbwa wengi miezi ya 2- 4 ndo umri sahihi wa kumtrain a
Hajaelewa huyo kabla ya kumwambia anawapata wapi lazima apewe elimu kwanza hao mbwa sio kama unaopishana nao mtaani huo mdomo wake kichwa cha mtoto kinaingia vizuri tu.Sio utani bruh tahadhari pia ni muhimu
Mbwa kama rott hawatakiwi waachiwe nje ovyo hasa kama kuna watoto
Ni kweli mkuu. Kuna mbwa binafsi siwezi kufuga. Nikianza na Rottweiller.Hajaelewa huyo kabla ya kumwambia anawapata wapi lazima apewe elimu kwanza hao mbwa sio kama unaopishana nao mtaani huo mdomo wake kichwa cha mtoto kinaingia vizuri tu.
Bora kufuga ChihuahuaSio utani bruh tahadhari pia ni muhimu
Mbwa kama rott hawatakiwi waachiwe nje ovyo hasa kama kuna watoto
Uko nyumbani unaangalia mtt yuko wapi unazunguka unakuta bobby katoa tu ulimi nje domo limejaa damu sijui utapiga risasi ngapiHajaelewa huyo kabla ya kumwambia anawapata wapi lazima apewe elimu kwanza hao mbwa sio kama unaopishana nao mtaani huo mdomo wake kichwa cha mtoto kinaingia vizuri tu.
Akikasirika Ajue Yale Yale Ya KingungeWanabongo watu wa ajabu sana unafunga mbwa lakini huonani naye,hao mbwa wanapenda sana michezo kama hachezi nae hukai naye jiandae siku akikasirika.
Huyo Ndiyo Manunu Kazi Kulamba VyomboBora kufuga Chihuahua
View attachment 2407566
Manunu kama manunu hakopeshiHuyo Ndiyo Manunu Kazi Kulamba Vyombo
Mbwa wa Kidenish huu.Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389
Cane corso ....Great Dane hana masikio yaliyosimama hata uki-crop....Breed type ni Great Dane.
Kuna jamaa hua ana wa import, ni pm no. yako kama wapo nitakujuza
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Mkuu huyu mbwa sio BATA BUKENE.Andaa pesa sio chini ya laki tano pia usisahau hao hawakai siku tatu bila kula nyama kilo moja anamaliza na hashibi kila week anatakiwa kuogeshwa na dawa+shampoo za wanyama je utaweza?
Dude linatisha hili khaaaaMwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389
Breed type ni Great Dane.
Kuna jamaa hua ana wa import, ni pm no. yako kama wapo nitakujuza
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Utaweza kulilisha hilo dubwasha? Kwa siku linajula kg 10 za nyama kama simba
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app