Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali na kero zako kwenye nyuzi za Chelsea, Man Utd, Liverpool na Arsenal huwa una busara sana wewe Shabiki la Liverkuku.Nenda viwandani fanya kazi miezi 6 acha amia kitanda kingine fanya miezi 6 acha then nenda kajitolee kwenye taasisi kubwa au sehemu kama tbs,tanroad,Tarura then Anza kuwinda job TPDC
Mimi ni shabiki wa fc bandari ya tanga na wazee fc ya kigoma tuMbali na kero zako kwenye nyuzi za Chelsea, Man Utd, Liverpool na Arsenal huwa una busara sana wewe Shabiki la Liverkuku.
Hakuna sehemu nyepesi kupata nafasi ya kujitolea kwa mechanical engineering kama Tarura na tanroadOk shukran kwa ushauli,
Shukran sana kwa muongozo huuHakuna sehemu nyepesi kupata nafasi ya kujitolea kwa mechanical engineering kama Tarura na tanroad
Nenda kujitolea ukiwa na target moja kupata ujuzi na sio kupata ajira (hapa lazima upoteze mwaka mmoja )
Lengo ni nini sasa ?
Ni kupata ujuzi utakaokuwezesha kufaulu usahili wako wa ajira sehemu nzuri(yenye maslahi nimetolea mfano TPDC)
Mechanical engineering usahili zake huwa ni nyepesi saana ila zinamitego mingi so kujitolea kutakupa ujuzi wa kukwepa mitego ya usahili
Kwann ujitolee sehemu kama Tarura na tanroad? (taasisi za serikali)
Unapojitolea sehemu kama hizo ukienda kufanya usahili sehemu zingine utapewa kipaumbele sababu umetokea sehemu officially (usithubutu kwenda kujitolea sehemu za ushwahilini na vichakani)
Cv yako itakuwa nzuri na ya kuvutia
Ndani ya hichi kipindi ambacho hujapata sehemu ya kujitolea usikubari kufanya kazi nje ya taaluma yako uliyosomea mfano usiende kulima matikiti kwenye CV huwezi kuandika kuwa..
"Baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo nikaenda kulima matikiti njombe..."
Note
Am mechanical engineer nafanya kazi kwenye mamlaka fulani
Nimesimamia sahili zaidi ya tatu so naelewa nachokuambia
Faraja kwako ni kuwa kazi za mechanical engineering ni nyingi saana kuliko wahitaji
Jiunge kwenye magroup ya ajira
Kuwa na NIDHAMU
Jichanganye kwenye nyumba za ibada hapa ndio nidhamu huwa inasaidia zaidi
All in All nisikuone Pm
Utashangaa na wewe kweli humuoni huyo jamaa pm akati ni very potential kwako.Shukran sana kwa muongozo huu
Mzee wa Ikulu una maneno mazuri sana ushauri konki sana sema sentensi ya mwisho umevunjaHakuna sehemu nyepesi kupata nafasi ya kujitolea kwa mechanical engineering kama Tarura na tanroad
Nenda kujitolea ukiwa na target moja kupata ujuzi na sio kupata ajira (hapa lazima upoteze mwaka mmoja )
Lengo ni nini sasa ?
Ni kupata ujuzi utakaokuwezesha kufaulu usahili wako wa ajira sehemu nzuri(yenye maslahi nimetolea mfano TPDC)
Mechanical engineering usahili zake huwa ni nyepesi saana ila zinamitego mingi so kujitolea kutakupa ujuzi wa kukwepa mitego ya usahili
Kwann ujitolee sehemu kama Tarura na tanroad? (taasisi za serikali)
Unapojitolea sehemu kama hizo ukienda kufanya usahili sehemu zingine utapewa kipaumbele sababu umetokea sehemu officially (usithubutu kwenda kujitolea sehemu za ushwahilini na vichakani)
Cv yako itakuwa nzuri na ya kuvutia
Ndani ya hichi kipindi ambacho hujapata sehemu ya kujitolea usikubari kufanya kazi nje ya taaluma yako uliyosomea mfano usiende kulima matikiti kwenye CV huwezi kuandika kuwa..
"Baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo nikaenda kulima matikiti njombe..."
Note
Am mechanical engineer nafanya kazi kwenye mamlaka fulani
Nimesimamia sahili zaidi ya tatu so naelewa nachokuambia
Faraja kwako ni kuwa kazi za mechanical engineering ni nyingi saana kuliko wahitaji
Jiunge kwenye magroup ya ajira
Kuwa na NIDHAMU
Jichanganye kwenye nyumba za ibada hapa ndio nidhamu huwa inasaidia zaidi
All in All nisikuone Pm
Tangazo la jana la UTUMISHI hujaliona?Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
Nenda ERB, waambie unaomba kufanya SEAP... Wanaweza kukusaidia kupata eneo la kujitolea, na utakuwa unalipwa..(japo malipo yao yanachelewa sana)Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
Amesema kamaliza Mechanical engineering. Sehemu yake sahihi ya kujitolea na hata kufanya kazi ni katika viwanda vya chuma na vya Saruji. Kwa Serikalini aangalie NDC, NIRC na CARMATEC.Nenda viwandani fanya kazi miezi 6 acha amia kitanda kingine fanya miezi 6 acha then nenda kajitolee kwenye taasisi kubwa au sehemu kama tbs,tanroad,Tarura then Anza kuwinda job TPDC
Ulishawai kuomba SEAP mchakato mzima upoje mkuu?Nenda ERB, waambie unaomba kufanya SEAP... Wanaweza kukusaidia kupata eneo la kujitolea, na utakuwa unalipwa..(japo malipo yao yanachelewa sana)
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
safi sanamkuu mm mechanical engineer nip huk kisemvulee njoo utafute huk kaz hauwez kukosa mm nimeajir huku raddy fiber viwanda vipo kibao kinoma hauwez kukos kazi
Izo za viwandani tupe connection na sisi tujemkuu mm mechanical engineer nip huk kisemvulee njoo utafute huk kaz hauwez kukosa mm nimeajir huku raddy fiber viwanda vipo kibao kinoma hauwez kukos kazi