Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.​
Kwanini usifungue biashara mkuu
 
Kijana kama uko unaomba mijini utaomba mpaka uzeeke.

Nenda kwenye manispaa na halmashauri ndogondgo uombe hao Tarura Tanroads na viwanda vdgvdg .

shinyanga, simiyu, Geita,Katavi,kigoma,
omba huko
 
Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.​
TUWASILIANE KAZI YA KUFUNDISHA LEBVEL 1-3
KIDT VTC MOSHI 0717157640
 
Back
Top Bottom