Sio sahihi kumkimbia. Mpaka ukamlipia mahari maana yake umemchukua kwao rasmi. Kama kuna changamoto ambayo haivumiliki unaweza ukaachana nae rasmi. Muhimu changamoto hiyo iwe mpya kwako yaani ulifichwa hapo kabla. Sio umekutana na mwanamke akiwa mlevi halafu unataka kumwacha saabu ni mlevi wakati ni suala ambalo ulilijua tangu mwanzo. Huo utakua ni ujinga