Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

Kama umefanikiwa katika Hitaji lako basi ondoa hizo Credentials zako muhimu hapo hakuna sababu ya kuendelea kuzianika. Na pia UKIFANIKIWA lete mrejesho humu ili iwe motivation na kwa wengine pia πŸ™.
 
Sawa mkuu.

Kuhusu motivation -Mimi Kazi yangu ya kwanza nilipata hapa JF .na ya pili

Na hii itakuwa jumla 03

Nafikiri kikubwa vijana waendelee kuutumia huu mtandao in positive way. Na kuzingatia uaminifu
 
Unaweza vipi ku solve tatizo la stock ukiwa kama store keeper
 
Unaweza vipi ku solve tatizo la stock ukiwa kama store keeper

Vifaa vinavyoingizwa vinahesabiwa idadi yake na kuandikwa na vinavyotoka hivyo hivyo

Kila Ahsubui huwa natuma report na jioni

Kuhakikisha unaboresha usalama Kama kupiga Picha na kumtumia muhusika , boss , supervisor

Punctuality -kuwahi

Kuhusu Ku solve tatizo , natumia maarifa Kwa kuangalia chanzo cha tatizo hasa ni nini , mfano wizi, kuhesabu vibaya Mali zilizopo n.k

Kazi ya storekeeper ni Kazi ambayo inahitaji umakini hasa katika upotevu wa Mali au vifaa .
 
Application gani uliwahi kutumia kwenye store na unarecord vipi receipt zako
 
Safi sana bwashee unajibu vizuri
 
Mlinzi wa silaha ni mtu au mlinzi wa aina gani?
 
Mungu akutangulie katika mapambano Mkuu
 
Mungu akujalie upate kazi
Kuna wadau watasoma na hakika msaada utaupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…