Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umefanikiwa katika Hitaji lako basi ondoa hizo Credentials zako muhimu hapo hakuna sababu ya kuendelea kuzianika. Na pia UKIFANIKIWA lete mrejesho humu ili iwe motivation na kwa wengine pia 🙏.Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT
Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda kumuuguza Mama .
Pia nimewahi kuwa storekeeper katika godauni.
Kuhusu Mimi
Location nipo DSM
Sifa , Mchapa Kazi , mwaminifu
Hivyo yeyote mwenye Kazi either inahusiana na hizo nilizozitaja au nje ya hizo Mimi nipo tayari tufanye kazi.
Kuhusu Mimi , ni mchapa Kazi , mwaminifu na mtu wa Kutoa matokeo Kwa wakati.
Waweza kunipigia Kwa namba hii
+255 718 038 005
Ushimeni kashampa kazi we huoni alivonshukuruKama umefanikiwa katika Hitaji lako basi ondoa hizo Credentials zako muhimu hapo hakuna sababu ya kuendelea kuzianika. Na pia UKIFANIKIWA lete mrejesho humu ili iwe motivation na kwa wengine pia 🙏.
Sawa mkuu.Kama umefanikiwa katika Hitaji lako basi ondoa hizo Credentials zako muhimu hapo hakuna sababu ya kuendelea kuzianika. Na pia UKIFANIKIWA lete mrejesho humu ili iwe motivation na kwa wengine pia 🙏.
Mkuu wale jamaa ulifanikiwa kuwacheki walipatikana?Sawa mkuu.
Kuhusu motivation -Mimi Kazi yangu ya kwanza nilipata hapa JF .na ya pili
Na hii itakuwa jumla 03
Nafikiri kikubwa vijana waendelee kuutumia huu mtandao in positive way. Na kuzingatia uaminifu
Hongera sana mkuu hapo utapata kazi inshallahYes , nimeongea nao Ila nimepewa namba nyingine ambayo nimepewa maelezo kuwa nitawasiliana nao kesho kuanzia 08 :30 AM
Unaweza vipi ku solve tatizo la stock ukiwa kama store keeper
Application gani uliwahi kutumia kwenye store na unarecord vipi receipt zakoVifaa vinavyoingizwa vinahesabiwa idadi yake na kuandikwa na vinavyotoka hivyo hivyo
Kila Ahsubui huwa natuma report na jioni
Kuhakikisha unaboresha usalama Kama kupiga Picha na kumtumia muhusika , boss , supervisor
Punctuality -kuwahi
Kuhusu Ku solve tatizo , natumia maarifa Kwa kuangalia chanzo cha tatizo hasa ni nini , mfano wizi, kuhesabu vibaya Mali zilizopo n.k
Kazi ya storekeeper ni Kazi ambayo inahitaji umakini hasa katika upotevu wa Mali au vifaa .
Min na max re-order level, fifo na lifo, kama ni store keeper umeeelewaUnaweza vipi ku solve tatizo la stock ukiwa kama store keeper
Safi sana bwashee unajibu vizuriVifaa vinavyoingizwa vinahesabiwa idadi yake na kuandikwa na vinavyotoka hivyo hivyo
Kila Ahsubui huwa natuma report na jioni
Kuhakikisha unaboresha usalama Kama kupiga Picha na kumtumia muhusika , boss , supervisor
Punctuality -kuwahi
Kuhusu Ku solve tatizo , natumia maarifa Kwa kuangalia chanzo cha tatizo hasa ni nini , mfano wizi, kuhesabu vibaya Mali zilizopo n.k
Kazi ya storekeeper ni Kazi ambayo inahitaji umakini hasa katika upotevu wa Mali au vifaa .
Mlinzi wa silaha ni mtu au mlinzi wa aina gani?Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT
Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda kumuuguza Mama .
Pia nimewahi kuwa storekeeper katika godauni.
Kuhusu Mimi
Location nipo DSM
Sifa , Mchapa Kazi , mwaminifu
Hivyo yeyote mwenye Kazi either inahusiana na hizo nilizozitaja au nje ya hizo Mimi nipo tayari tufanye kazi.
Kuhusu Mimi , ni mchapa Kazi , mwaminifu na mtu wa Kutoa matokeo Kwa wakati.
Waweza kunipigia Kwa namba hii
+255 718 038 005
Mungu akutangulie katika mapambano MkuuNaitwa Ezra