Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT

Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda kumuuguza Mama .

Pia nimewahi kuwa storekeeper katika godauni.

Kuhusu Mimi
Location nipo DSM
Sifa , Mchapa Kazi , mwaminifu

Hivyo yeyote mwenye Kazi either inahusiana na hizo nilizozitaja au nje ya hizo Mimi nipo tayari tufanye kazi.

Kuhusu Mimi , ni mchapa Kazi , mwaminifu na mtu wa Kutoa matokeo Kwa wakati.

Waweza kunipigia Kwa namba hii

+255 718 038 005
Kama umefanikiwa katika Hitaji lako basi ondoa hizo Credentials zako muhimu hapo hakuna sababu ya kuendelea kuzianika. Na pia UKIFANIKIWA lete mrejesho humu ili iwe motivation na kwa wengine pia 🙏.
 
Sawa mkuu.

Kuhusu motivation -Mimi Kazi yangu ya kwanza nilipata hapa JF .na ya pili

Na hii itakuwa jumla 03

Nafikiri kikubwa vijana waendelee kuutumia huu mtandao in positive way. Na kuzingatia uaminifu
 
Unaweza vipi ku solve tatizo la stock ukiwa kama store keeper
 
Vifaa vinavyoingizwa vinahesabiwa idadi yake na kuandikwa na vinavyotoka hivyo hivyo

Kila Ahsubui huwa natuma report na jioni

Kuhakikisha unaboresha usalama Kama kupiga Picha na kumtumia muhusika , boss , supervisor

Punctuality -kuwahi

Kuhusu Ku solve tatizo , natumia maarifa Kwa kuangalia chanzo cha tatizo hasa ni nini , mfano wizi, kuhesabu vibaya Mali zilizopo n.k

Kazi ya storekeeper ni Kazi ambayo inahitaji umakini hasa katika upotevu wa Mali au vifaa .
 
Application gani uliwahi kutumia kwenye store na unarecord vipi receipt zako
 
Vifaa vinavyoingizwa vinahesabiwa idadi yake na kuandikwa na vinavyotoka hivyo hivyo

Kila Ahsubui huwa natuma report na jioni

Kuhakikisha unaboresha usalama Kama kupiga Picha na kumtumia muhusika , boss , supervisor

Punctuality -kuwahi

Kuhusu Ku solve tatizo , natumia maarifa Kwa kuangalia chanzo cha tatizo hasa ni nini , mfano wizi, kuhesabu vibaya Mali zilizopo n.k

Kazi ya storekeeper ni Kazi ambayo inahitaji umakini hasa katika upotevu wa Mali au vifaa .
Safi sana bwashee unajibu vizuri
 
Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT

Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda kumuuguza Mama .

Pia nimewahi kuwa storekeeper katika godauni.

Kuhusu Mimi
Location nipo DSM
Sifa , Mchapa Kazi , mwaminifu

Hivyo yeyote mwenye Kazi either inahusiana na hizo nilizozitaja au nje ya hizo Mimi nipo tayari tufanye kazi.

Kuhusu Mimi , ni mchapa Kazi , mwaminifu na mtu wa Kutoa matokeo Kwa wakati.

Waweza kunipigia Kwa namba hii

+255 718 038 005
Mlinzi wa silaha ni mtu au mlinzi wa aina gani?
 
Mungu akutangulie katika mapambano Mkuu
 
Mungu akujalie upate kazi
Kuna wadau watasoma na hakika msaada utaupata
 
Back
Top Bottom