Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari
Habari zenu watanzania wenzangu.

Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili

Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana ajira za wanahabari zimehamia kwa wasanii na watu maarufu. Meneja wa jamiiforums na watu binafsi naombeni mtusaidie kutupatia taarifa humu ambao hatuna ajira Wala mitaji. Tukumbukane na kwa maombi pia,, Asanteni 🙏
Mawasiliano yako , kuna kazi ya utangazaji
 
Back
Top Bottom