Natafuta baba watoto

We miss natafuta utuambie kama unakusanya questionnaire humu...bado hujapata...???na kama hujapata kwa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funga, omba, mlilie Mungu
Bila hivyo .....

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Yaani wewe ndio unatafuta mume ila masharti kama mganga mpaka na expire date???? Saa si ni bora ukae tu single. Halafu unasema awe hajatalikiana, wewe hijawahi kuwa na uhusiano na kuachana na x?? Ama waliotalikiana wako na alama fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
37 years old, 1 year less to fulfill the condition

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nisubiri mwaka kesho nitakuwa na 38

Post sent using JamiiForums mobile app
 
atakaekuwa wa kwanza kunitafuta nitamfikiria zaidi labda tushindwane tu ndo nitatafuta mwingine
What if na mimi ukakutana na email yangu ya maombi utaisoma kweli?? Au ndiyo utaipeleka spam..![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Duuuuuu!!!!! Kazi kweli kweli , pitia profile za jf members utakae muona anafaaaa mPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe muhenga miaka 40 mpaka mia.
viserengeti mnanipenda sana Mimi napenda kulelewa pia sikupata mapenzi ya kutosha kutoka kwa baba so nataka mtu wa kuchukua nafasi yake. Uwe mpenzi Uwe baba
Kupima HIV muhimu
Mizinga muhimu sipendi makuu ila sitaki bahili
Uwe tayari kuzaa na kulea.
Email yangu ni
Simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…