Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah haya mis uVipo pumziko tu msimu mpya unakuja
Katika ubora wakozipo nyingiii tu zinauzwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wataona tofautiKweli we jamaa boya..
Nipe kadi ya mwaliko kisha nitakueletea zawadi ya kuku wa kienyeji, mkienda fungate wakiweka shuka lao mchinje huyo kuku kisha mwaga damu kidogo kwenye hiyo shuka.
Mhifadhi vizuri huyo kuku kesho yake umnywe supu.
Shikamoo KKKatika ubora wako
Sawa nimekuelewa mkuu, shida ni sisi tusiojua tutaingizwa mkenge sanaMkuu Mimi nimeelewana Na mchumba wangu
Shikamoo??? Unataka kuninyima nini we mwanamke[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo KK
Me nimekuamkia tu kwani naweza kukunyima kitu ni heshima tu hiyo KKShikamoo??? Unataka kuninyima nini we mwanamke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawawezi gundua[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wataona tofauti
Kuna vitu vingine ukiweka tu hii shikamoo mambo yanaharibika[emoji23] [emoji23]Me nimekuamkia tu kwani naweza kukunyima kitu ni heshima tu hiyo KK
Acha bwana carba ukuje hukuKuna vitu vingine ukiweka tu hii shikamoo mambo yanaharibika[emoji23] [emoji23]
[emoji125]Acha bwana carba ukuje huku
Unaenda wapi tena kk[emoji125]
Wewe yakwako ilikuaje siku ya kutolewa?Dah me cjui bdo mtoto wa hayo mambo ila ninavowackia watu sio watu wote wanatoka damu itadepend na wewe mwenyew utakavomtoa ila nenda insta huko zko page kibao za makungwi wanauza labda mtafanikiwa