Natafuta Binti asiezidi miaka 22

Mhmhmh,pacha wako Madame B yupo wapi?!! Karudi Tanga vijijini?!! Mpo Jf zaidi ya 10 years halafu mko sealed eeeh?!!
Hebu mtuache.
Yule wa Rwanda ana 102 na bado bikra anatafuta wa kumuoa....itakuwa mimi.
Tanga haendi mtu, tutabanana hapahapa....
Me niko sealed.
 
Hebu mtuache.
Yule wa Rwanda ana 102 na bado bikra anatafuta wa kumuoa....itakuwa mimi.
Tanga haendi mtu, tutabanana hapahapa....
Me niko sealed.
Hahahaha, sealed hata ya kwapa huna wewe!!!

Ule mkasa wako wa upwiru hadi ukambaka Snop Dogg Dogg uliniacha hoi sana!!

Kwenye member wa wale dadaz wa Real Madrid barabara ya 4 huenda umebaki wewe tu.
 
Hahahaha, sealed hata ya kwapa huna wewe!!!

Ule mkasa wako wa upwiru hadi ukambaka Snop Dogg Dogg uliniacha hoi sana!!

Kwenye member wa wale dadaz wa Real Madrid barabara ya 4 huenda umebaki wewe tu.
Unafukua makaburi sasa.
JLW limenifanya niwe mpole ghafla....
 
😂Mbona huwataki wanachuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…