Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hebu mtuache.Mhmhmh,pacha wako Madame B yupo wapi?!! Karudi Tanga vijijini?!! Mpo Jf zaidi ya 10 years halafu mko sealed eeeh?!!
Yule wa Rwanda ana 102 na bado bikra anatafuta wa kumuoa....itakuwa mimi.
Tanga haendi mtu, tutabanana hapahapa....
Me niko sealed.