Natafuta binti wa kazi kutoka Tanga anayejua kuendesha bodaboda

Natafuta binti wa kazi kutoka Tanga anayejua kuendesha bodaboda

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naitaji binti mdogo kutoka Tanga

Sifa zake
  • Ajue kuendesha Bodaboda
  • Ajue kupika bites zote
  • Ajue kusoma na kuandika
  • Majukumu yake
  • Kusafisha nyumba na mazingira
  • Kufua na kupika sometimes nyumba ina mke na Mume tu
  • Kulisha mbwa na kuku sio wengi na Bata bukini 4 tu
  • Kutengeneza bites za kuuza maduka kumi huu ni mradi wake na mama mwenye nyumba
Kama una mtu njoo PM mwisho saa 10 jioni
 
Kuna watu wanasema hizo baiti zitakazopikwa na mlisha mbwa hawali.
Je, mtazijua kwamba ndio zenyewe huko madukani?
Sio ajabu mnazokula zina kamasi kabisa ni vile tu unakuta kamasi imeivia kwenye bites 😁😁
 
Kwa nini umelazimisha awe anatoka Tanga ?
Tumekugundua kuna kitu hujawahi pewa na sasa unataka kukipata kiubwete
Ametaka mtu wa Tanga sababu ni kuwa watu wa Tanga wanajua kupika bites mbali mbali .
 
Hapana,hapana kwa mshahara bei gani ukute 50000 kazi zote

Kama ni wewe basi ni mvivu hizo kazi huwezishindwa zifanya wewe

Kumbuka huyo mtu unayemtafuta sio mfanyakazi wa ndani bali anajielewa maana ajue kupika vitafunwa vizuri aina nyingi aweze kuendesha boda labda kama unasafiri basi na mmeo anasafiri,siku akiumwa na wewe hakuna kutoka maana atatumika

Mimi naweza hizo kazi zote ila mwambie mmeo kuwa kapatikana boy vip atafaa kama anaweza kukujibu muda huo nipigie
0742000000
 
Back
Top Bottom