Natafuta binti wa kazi kutoka Tanga anayejua kuendesha bodaboda

Natafuta binti wa kazi kutoka Tanga anayejua kuendesha bodaboda

Naitaji binti mdogo kutoka Tanga

Sifa zake
  • Ajue kuendesha Bodaboda
  • Ajue kupika bites zote
  • Ajue kusoma na kuandika
  • Majukumu yake
  • Kusafisha nyumba na mazingira
  • Kufua na kupika sometimes.nyumba ina mke na Mume tu
  • Kulisha mbwa na kuku sio wengi na Bata bukini 4 tu
  • Kutengeneza bites za kuuza maduka kumi huu ni mradi wake na mama mwenye nyumba
Kama una mtu njoo PM mwisho saa 10 jioni
Kuna kabinti hapa toka Tanga ila hakajuwi kusoma wala kuandika lugha ya taifa bali kamekariri vitabu vya Juhuzuu tu, pia dini inamkataza kukaa karibu na mbwa....nikutambulishe kwake?
 
Why Tanga, unataka baada ya kazi ufanye mawasiliano ya Tigo?
Kwa mapishi watu wa Tanga wapo vizuri sana ,

Kuna clip inazunguka mtandaoni kuna dada anatamba kwa nyodo sana " watu wa mbeya na watulimie tu huo mchele , lakini wali waliwa Tanga."
 
Bila shaka boda boda ni kwa ajili ya kubebea mambwa ili yakaogelee na kupunga upepo.
Mizunguko tu boss
Anaitajika akishatengeneza bites asambaze madukani.tuna maduka Kama kumi tayari sitaki awe na mazoea na Bodaboda wa mtaani watamuharibu
 
Mbona me naendesha toyo hyo.hutaki hela wewe.hela haiji kirahisi abigail
Haha najua haiji kirahisi na unahitaji kufanya hata usivyofikiria kufanya tena view vigumu ili ufanikiwe
I salute you..hongera
Mi kwetu tanga ningekutafutia sema wavivuu
 
Back
Top Bottom