Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
HahahahahaHizo bites za kupikwa na mlisha mbwa siwezi nunua
Ahaa watu wanalala na mbwa sembuse kulishwa.mbwa anawekewa tu msosi muda wake bnaHizo bites za kupikwa na mlisha mbwa siwezi nunua
Kazi sio nyingi mkuu hata kidogoMajukumu yote hayo awe anafanya na routine? Asee
Mtakula tuYaan alishe mbwa akimaliza akatupikie bites!labda wataokula ni mbwa.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Mtakula tu
Ametaka mtu wa Tanga sababu ni kuwa watu wa Tanga wanajua kupika bites mbali mbali .Kwa nini umelazimisha awe anatoka Tanga ?
Tumekugundua kuna kitu hujawahi pewa na sasa unataka kukipata kiubwete
Afanyie mizungukoVipi kuhusu hiyo boda