Natafuta binti wa kazi kwa ajili ya Mama Ntilie. Mshahara Tsh. 3,000/- kwa siku

Tatizo sio lake ila ni mfumo wa ajira uliopo nchini, mtaji wa laki moja, amlipe 5000 kwa siku,? Hao kina bakres@ wenye mabilioni lakini kwa siku mtu analipwa 4200-6000!!? Kwa Tz huo ndio mshahara kwa wapishi wwngi kwenye migahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…