witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni mzuri ntaufanyia kaz biashara ikikua kwa sasa nalinda mtaji na faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni mzuri ntaufanyia kaz biashara ikikua kwa sasa nalinda mtaji na faida
Hahaaaa u can't b serious [emoji1787][emoji23]Njoo tuvutane tuishi Dilek.
Utanisaidia sana mana nahitaji mwanamke jasiri wa kuwa mama watoto.
Mwanamke mwenye uthubutu wa biashara hata kwa mtaji wa laki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natafuta namna niboreshe welfare ya wafanyakazi wangu
Biashara yangu bado iko katika kiwango duni sana mkuu kuanzia mtaji, vifaa vya kazi, enei wanalokaa wateja na kipindi hiki cha mvua ndio hali inakuwa tete sana
Msinilalamikie sana kuhusu mshahara, ndio kwanza najikakamua na hii kitu
Jamaa anashangazaHahaaaa u can't b serious [emoji1787][emoji23]
Hahahah hivi wale wanaotengeneza jinzi wanakula buku4 kwa siku?Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!
Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..
Kipikikucheshekeshacho sasa?Hahaaaa u can't b serious [emoji1787][emoji23]
Ndio hivyo mkuuHahahah hivi wale wanaotengeneza jinzi wanakula buku4 kwa siku?
Dah, life tight kingese manNdio hivyo mkuu
Humo wamo mpaka wenye degree wanasingizia kujishikiza huku wamesain mikataba
Nimeamua[emoji57]Kipikikucheshekeshacho sasa?
Fix kama zoteJamaa anashangaza
Nashukuru nafasi zote zishajazwaNimeamua[emoji57]
Mfyuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57]Nashukuru nafasi zote zishajazwa
Mpishi..
Muhudumu..
Mmmhh nitarudi shamba kwa Hali hiyo elf3 wali sahani buku jeroKiwanda cha MMI Steel kinawalipa vibarua wake 3500/=per day ,kazi ni masaa 12,nashangaa mnaomkejeli mleta mada.
Heeeeh kumbe ndo hali ilivyo? Selikali iingilie kati hapa. Huu ni unyonyaji wa wazi kabisa.Ni day worker hao na wakija tena kesho mnaandikishwa mnapiga kazi siku ikiisha mnamalizia kesho usipokuja hawakuulizi wala kukutafuta. Ndio maana unaona watu wanajaa getini kusubiri uteuzi
Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!
Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..
au amchukue dadaake afanye hiyo kazi,ina maana ukoo wake wote huko kijijini wameajiriwaUsitishe watu wewe, mshahara huo unakufanya usijiamini ndio maana unasema tupunguze kejeli. Kama unaona mshahara huo ni mzuri na haupaswi kuchalenjiwa fanya kazi yako mwenyewe,amka asubui mpaka saa 7 uchukue 3000/ yako.
alipo ya chai na lunch lakini kuna safari,vikao,seminar na hope ya kuajiriwa moja kwa mojaMasaa 6 unalipwa elfu 3.
Halafu ukiangalia hii kazi anaweza pata uzoefu akaja kujiajiri kama mama ntilie.
Wasomi na Degee zao wanajitolea mwaka mzima kwa malipo ya chai na lunch.
Paza sauti na huko mkuu
Daah pale ubungo external mshahara elfu 90 kwa mwezi, full kutukanwa na wachina, marufuku kutumia simu masaa ya kazi, daah nilifanya pale wakati nasubiria matokeo yangu ya kidato cha nne miaka ya nyuma sana, umenenea vyema Room 106Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!
Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..