Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mbona povu,hapa tunajadiliana ila ww naona povu linakutoka,[emoji23][emoji23]au ndio ID yako nyingine ya kijipa kampaniKama inaumiza kifua akae kwao sio lazima
Sio gubu,3000 per day,angesema bila kupika chapati ni sawa,hv unajua chapati kuandaa ule unga kila siku baada ya muda hayo maumivu ya kifua si mchezodaaaaaah wabongo sisi gubu tunazidisha aisee kwani kuna mtu kashikiwa fimbo mkuu? hebu weka ofa yako na ww umlipe mtu 50k per day ili umfundishe kwa vitendo
70🙄🙄Wewe house girl wako unamlipa sh ngapi kwa mwezi? sidhani kama inafika laki so ni wale wale tu.
Mm nina biashara kama hyo na nalipa 5000 per day,anaingia saa 12 asubuh saa 10jion tunafunga hesabu,na kwenye kukanda unga kuna zamu ya kukanda na hata siku nyingine mm mwenyewe pia nakanda.Ndio nimebadili mama
Hii ajira sio forced labour jamani
Mbona viwanda vya nondo ambako moto ni zaidi ya degree 300 ba zaidi kuna watu wanalipwa kidogo na ham wahurumii?
Hata mm nalipa 5000 mkuu,ila kazi ya kukanda ngano kwa 3000 inaumiza,tuwe na utu kidogoShida hao wote wanaolalamika hawajawahi kufanya biashara hata ya pipi hawajui changamoto yoyote ya biashara..mshahara wa mama Ntilie kwa siku ni elfu 3-4 japo maeneo machache wanalipa elfu 5(kama mimi) hadi 6 mwisho na hapo uwe unauza kweli kweli vinginevyo utafunga asubuhi tu.
Ngano kilo 2 inakuumiza nn dada hebu usifanye mambo kuwa magumu.Hata mm nalipa 5000 mkuu,ila kazi ya kukanda ngano kwa 3000 inaumiza,tuwe na utu kidogo
Mmmmmh kwa maelezo haya huitaji mtu wa kazi uliyotaja ila ni nyingne.Mama ntilie na watu wa bar huwa wanahitaji mabinti kwa sababu nyingi tu.
Nadhani wanaume wanaelewa hili kwa kirefu..
Karibu supu kongoro mixer karafuu
Ni posho sio mshahara lol.Kiwanda cha MMI Steel kinawalipa vibarua wake 3500/=per day ,kazi ni masaa 12,nashangaa mnaomkejeli mleta mada.
Igawanye kwa siku 30 utapata 2,333.33 pesa ndogo sana70🙄🙄
Ni day worker hao na wakija tena kesho mnaandikishwa mnapiga kazi siku ikiisha mnamalizia kesho usipokuja hawakuulizi wala kukutafuta. Ndio maana unaona watu wanajaa getini kusubiri uteuziNi posho sio mshahara lol.
Ww ni mvivu mtaji wa laki moja unaajiri nn sasa uwo ni uvivu wa kufanya kazi afu pia ni muongo ww uwezi ajiri mtu kwa mtaji wa laki moja...ww ni mnyonyaji unatumia mtaji wa laki 1 lkn nyuma ya panzia co unataka kunyonya watu...Mtaji wa laki 1 ungekuwa wewe ungelipa mshahara sh ngapi?
Jibu kama mtu anaejua kukokotoa Operation expenses mpaka kubakiza net profit, mtaji ubaki pale pale biashara isife
Ndogo ukiwa nayoMbona pesa ndogo sana buku 3 aisee uwo unyonyaji
Hata mm nalipa 5000 mkuu,ila kazi ya kukanda ngano kwa 3000 inaumiza,tuwe na utu kidogo
Mama ntilie na watu wa bar huwa wanahitaji mabinti kwa sababu nyingi tu.
Nadhani wanaume wanaelewa hili kwa kirefu..
Karibu supu kongoro mixer karafuu
Unga kilo 2,n mdogo kila siku??,mkuu tuwe na utu kidogoNgano kilo 2 inakuumiza nn dada hebu usifanye mambo kuwa magumu.
Dah....hapo ushangae sasaBuku 3 jamani 😳😳😳 hata kama atakuwa anakula hapo hapo lakini daah maisha haya 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Dah..wabongo bana mnashangaza sana...mshahara kitu gani kwani...kuna watu wanalipwa buku 5 kwa siku na wamepanga Masaki..cha msingi upate kazi..mshahara utapata humohumo..akili yako tu 🤣 🤣🤣🤭Buku 3 jamani 😳😳😳 hata kama atakuwa anakula hapo hapo lakini daah maisha haya 🙆♂️🙆♂️🙆♂️