Natafuta binti wa kazi kwa ajili ya Mama Ntilie. Mshahara Tsh. 3,000/- kwa siku

Natafuta binti wa kazi kwa ajili ya Mama Ntilie. Mshahara Tsh. 3,000/- kwa siku

Njoo tuvutane tuishi Dilek.
Utanisaidia sana mana nahitaji mwanamke jasiri wa kuwa mama watoto.

Mwanamke mwenye uthubutu wa biashara hata kwa mtaji wa laki
Hahaaaa u can't b serious [emoji1787][emoji23]
 
Natafuta namna niboreshe welfare ya wafanyakazi wangu

Biashara yangu bado iko katika kiwango duni sana mkuu kuanzia mtaji, vifaa vya kazi, enei wanalokaa wateja na kipindi hiki cha mvua ndio hali inakuwa tete sana

Msinilalamikie sana kuhusu mshahara, ndio kwanza najikakamua na hii kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!

Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..
Hahahah hivi wale wanaotengeneza jinzi wanakula buku4 kwa siku?
 
Ni day worker hao na wakija tena kesho mnaandikishwa mnapiga kazi siku ikiisha mnamalizia kesho usipokuja hawakuulizi wala kukutafuta. Ndio maana unaona watu wanajaa getini kusubiri uteuzi
Heeeeh kumbe ndo hali ilivyo? Selikali iingilie kati hapa. Huu ni unyonyaji wa wazi kabisa.
 
Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!

Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..

Mimi naelewa Dada unachoongea
 
Usitishe watu wewe, mshahara huo unakufanya usijiamini ndio maana unasema tupunguze kejeli. Kama unaona mshahara huo ni mzuri na haupaswi kuchalenjiwa fanya kazi yako mwenyewe,amka asubui mpaka saa 7 uchukue 3000/ yako.
au amchukue dadaake afanye hiyo kazi,ina maana ukoo wake wote huko kijijini wameajiriwa
 
m
Masaa 6 unalipwa elfu 3.

Halafu ukiangalia hii kazi anaweza pata uzoefu akaja kujiajiri kama mama ntilie.

Wasomi na Degee zao wanajitolea mwaka mzima kwa malipo ya chai na lunch.

Paza sauti na huko mkuu
alipo ya chai na lunch lakini kuna safari,vikao,seminar na hope ya kuajiriwa moja kwa moja
\
 
Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!

Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..
Daah pale ubungo external mshahara elfu 90 kwa mwezi, full kutukanwa na wachina, marufuku kutumia simu masaa ya kazi, daah nilifanya pale wakati nasubiria matokeo yangu ya kidato cha nne miaka ya nyuma sana, umenenea vyema Room 106
 
Back
Top Bottom