Natafuta binti wa kuanza nae uchumba hadi ndoa

Natafuta binti wa kuanza nae uchumba hadi ndoa

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
537
Mimi ni kijana wa kitanzania niko hapa kutafuta mwanamke wa kuishi nae
Nimeishia kidato cha nne mwaka 2012 nina miaka 25.

Nimejiajiri kwenye campuni binafsi ya Umoja Computer and IT solution pia ni electrician/wiring.
Mkristo - Lutheran
Mchagga

Binti yeyeto miaka 22-24
Mkristo
Ajitokeze niko tayari
Kuishi nae nitampenda sana najua changamoto za mapenzi na maisha

Mungu atukuzwe
 
Mimi ni kijana wa kitanzania Niko hapa kutafuta mwanamke wa kuishi nae
Nimeishia kidato cha NNE mwaka 2012 Nina miaka 25
Nimejiajiri kwenye campuni binafsi ya Umoja Computer and IT solution pia ni electrician/wiring
Mkristo - Lutheran
Mchagga

Binti yeyeto miaka 22-24
Mkristo
ajitokeze Niko tayari
Kuishi nae nitampenda sana najua changamoto za mapenzi na maisha
Mungu atukuzwe
Aseee kazi kweli kweli
 
Kijana unasema mungu atukuzwe halafu unataka uishi na binti wa watu bila ndoa
 
Back
Top Bottom