Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 537
Mimi ni kijana wa kitanzania niko hapa kutafuta mwanamke wa kuishi nae
Nimeishia kidato cha nne mwaka 2012 nina miaka 25.
Nimejiajiri kwenye campuni binafsi ya Umoja Computer and IT solution pia ni electrician/wiring.
Mkristo - Lutheran
Mchagga
Binti yeyeto miaka 22-24
Mkristo
Ajitokeze niko tayari
Kuishi nae nitampenda sana najua changamoto za mapenzi na maisha
Mungu atukuzwe