siangalii umri wake ili mladi tu asizidi 35 yrs!
Best comment [emoji23][emoji119]Kaka hebu piga puchu.
Kisha jiulize kama unataka kuishi na mtu.
Kama jibu ni ndiyo.
Piga tena puchu.
Kisha jiulize tena kama unataka kuishi na mtu.
Kama jibu ni ndiyo.
Piga tena puchu.
Kisha jiulize kama bado unataka kuishi na mtu.
Kama jibu ni ndiyo.
Fanya haraka uoe utakuja kupata kesi ya kubaka.
Kama jibu ni hapana basi ni ugwadu tu ulikua unakusumbua endelea na maisha mengine.