Nina miaka 35 Sasa, mfanyabiashara, mkazi wa kibaha pwani, mkristo, mrefu kiasi, maji ya kunde,,graduate,,nina mtoto mmoja wa kiume, uzito 67kg
Sifa ya binti/mwanamke naye mtaka, mrefu kiasi, rangi yoyote, kabila lolote ,awe mkristo, awe na kazi au biashara, awe na positive altitudes muda wote! Na siangalii umri wake ili mladi tu asizidi 35 yrs!
Karibu PM KWANGU!