Natafuta binti wa kuishi naye

Natafuta binti wa kuishi naye

Tan1

Member
Joined
Oct 1, 2020
Posts
6
Reaction score
5
Nina miaka 35 Sasa, mfanyabiashara, mkazi wa kibaha pwani, mkristo, mrefu kiasi, maji ya kunde,,graduate,,nina mtoto mmoja wa kiume, uzito 67kg

Sifa ya binti/mwanamke naye mtaka, mrefu kiasi, rangi yoyote, kabila lolote ,awe mkristo, awe na kazi au biashara, awe na positive altitudes muda wote! Na siangalii umri wake ili mladi tu asizidi 35 yrs!

Karibu PM KWANGU!
 
Watakavyo Miminika Hadi watamwagika chini.
 
siangalii umri wake ili mladi tu asizidi 35 yrs!


Huangalii umri sasa hiyo 35yrs ni kitu gani???--- or just a number?!!🤣🤣

By the way, unataka hawara au mwanamke wa kuoa???--- hebu funguka kwanza.
 
Kaka hebu piga puchu.

Kisha jiulize kama unataka kuishi na mtu.

Kama jibu ni ndiyo.

Piga tena puchu.

Kisha jiulize tena kama unataka kuishi na mtu.

Kama jibu ni ndiyo.

Piga tena puchu.

Kisha jiulize kama bado unataka kuishi na mtu.

Kama jibu ni ndiyo.

Fanya haraka uoe utakuja kupata kesi ya kubaka.

Kama jibu ni hapana basi ni ugwadu tu ulikua unakusumbua endelea na maisha mengine.
Best comment [emoji23][emoji119]
 
Ukisema unataka binti wa kuishi nae wengine tunaelewa binti wa kazi, kuwa specific bana😂😂😂 thema unatafuta mke.
 
Back
Top Bottom