Natafuta Binti Wa Kulinda Shamba!

Natafuta Binti Wa Kulinda Shamba!

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Shamba lipo Dar
Akitoka Kanda ya Ziwa itakuwa poa.
Sifa:
Anaejitambua.
Asiwe na Mume labda Mtoto 1
Awe Hajasoma sana,Std 7
Awe tayari kupima Afya
Kazi Yake;
Kupikia Wafanyakazi wa Shamba
Kuhudumia mifugo
Usafi wa Nyumba
Ulinzi wa eneo husika.
Eneo Husika:
Ekari 3
Nyumba 2
Kuku,Bata,Mbwa.
Migomba,miwa,Korosho,Embe etc
Mahitaji;
Kula Bure
Kulala bure
Mshahara 100000/-
N.b:Mkataba Unaanzia Mwaka 1
Njoo PM.
 
Kupima afya Tena?
BintiKutoka Kanda yaziwa nikotokana na wafanya kazi washambani kupenda ugali ama?
[/QUOTE
Ndio,Afya lazima...
Akija hapa Akianza kuumwa ndugu wakisema kaanzia kuumwa kwangu naanzia wapi?
Kanda ya Ziwa wapo seriuos na kazi ukiachilia Ulimbukeni wao.
 
Afya yake inakuhusu nini kama kazi ni kuangalia mifugo yako au unamaanisha kama mgonjwa atawaambukiza hao Mbuzi na Kuku wako??
 
Mbona zipo sehemu nyingi formal wanahitaji kupima afya, yawezekana ana budget ndogo kumuhudumia kiafya kama ana tatizo la kudumu au kazi atazofanya zinahitaji afya imara etc... Chukulia positive au angalau uliza neutral QN
Afya yake inakuhusu nini kama kazi ni kuangalia mifugo yako au unamaanisha kama mgonjwa atawaambukiza hao Mbuzi na Kuku wako??
 
Kwahiyo unahisi ataambukiza kuku na bata korona!!
Hivi unachukua mtu humjui hakujui umemleta kwako kikazi site wiki haijaisha kaanza kuumwa serious bahati mbaya kapoteza maisha!! Familia yake unaielezaje wakuelewe??
 
Naye nanai atamlinda na hao Wajuba wa Shambani?.
Shamba(Limezungushwa fence) lipo kwenye makazi ya watu sio porini natumia solar umeme nishalipia nasubiria tanesco,maji yapo Kuna mbwa pia na watu wa kufanya kazi wanakuja na kuondoka msimu wa kilimo...Namuhitaji huyo binti nataka kuanza kuwekeza ni moja ya uhitaji kabla sijaanza hiyo ishu.
 
Shamba lipo Dar
Akitoka Kanda ya Ziwa itakuwa poa.
Sifa:
Anaejitambua.
Asiwe na Mume labda Mtoto 1
Awe Hajasoma sana,Std 7
Awe tayari kupima Afya
Kazi Yake;
Kupikia Wafanyakazi wa Shamba
Kuhudumia mifugo
Usafi wa Nyumba
Ulinzi wa eneo husika.
Eneo Husika:
Ekari 3
Nyumba 2
Kuku,Bata,Mbwa.
Migomba,miwa,Korosho,Embe etc
Mahitaji;
Kula Bure
Kulala bure
Mshahara 100000/-
N.b:Mkataba Unaanzia Mwaka 1
Njoo PM.
yaani unataka kumpata binti wa kwenda kumuweka mgomoni mwa hao wafanyakazi wa shamba, kuwa na huruma basi. hizo kazi zote hata mwanaume anawezza kuzifanya. na hapo kwenye kupima afya hapo sijui una lengo gani?
 
Back
Top Bottom