antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aisee!Shamba lipo Dar
Akitoka Kanda ya Ziwa itakuwa poa.
Sifa:
Anaejitambua.
Asiwe na Mume labda Mtoto 1
Awe Hajasoma sana,Std 7
Awe tayari kupima Afya
Kazi Yake;
Kupikia Wafanyakazi wa Shamba
Kuhudumia mifugo
Usafi wa Nyumba
Ulinzi wa eneo husika.
Eneo Husika:
Ekari 3
Nyumba 2
Kuku,Bata,Mbwa.
Migomba,miwa,Korosho,Embe etc
Mahitaji;
Kula Bure
Kulala bure
Mshahara 100000/-
N.b:Mkataba Unaanzia Mwaka 1
Njoo PM.
Binti anaweza kazi ya ulinzi?
Mbona vigezo vinaashiria kama unawinda mdada wa kumla😊