antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aisee!Shamba lipo Dar
Akitoka Kanda ya Ziwa itakuwa poa.
Sifa:
Anaejitambua.
Asiwe na Mume labda Mtoto 1
Awe Hajasoma sana,Std 7
Awe tayari kupima Afya
Kazi Yake;
Kupikia Wafanyakazi wa Shamba
Kuhudumia mifugo
Usafi wa Nyumba
Ulinzi wa eneo husika.
Eneo Husika:
Ekari 3
Nyumba 2
Kuku,Bata,Mbwa.
Migomba,miwa,Korosho,Embe etc
Mahitaji;
Kula Bure
Kulala bure
Mshahara 100000/-
N.b:Mkataba Unaanzia Mwaka 1
Njoo PM.
Aisee!
Binti anaweza kazi ya ulinzi?
Mbona vigezo vinaashiria kama unawinda mdada wa kumla😊
Akitaka Ataliwa tuu,Wanaume wapo kibao huku...Ila kazi yangu atafanya.Aisee!
Binti anaweza kazi ya ulinzi?
Mbona vigezo vinaashiria kama unawinda mdada wa kumla😊
Nina wake 2 ,Halafu hayo mambo ya ngono sisi wengine sio priority kivile,Tukiamua tunakula hata michepuko ipo ya kumwaga kwani yeye atakuja na mbunye kutoka wapi ambayo ina ladha tofauti muhimu kazi na hata yeye akinipa ntamla tuu kimasihara!!Kama unatafuta mke si useme tu maana kupima wakati hakuna cha kuambukiza hapo ni kituko. Na idadi ya uzao wake sidhan kama ni kigezo muhimu.
Nina wake 2 ,Halafu hayo mambo ya ngono sisi wengine sio priority kivile,Tukiamua tunakula hata michepuko ipo ya kumwaga kwani yeye atakuja na mbunye kutoka wapi ambayo ina ladha tofauti muhimu kazi na hata yeye akinipa ntamla tuu kimasihara!!
Unaitaka Ajira nn mrembo,Njoo pm tuyajenge hapa Nzi wengi,serious!!
Mwanaume anaweza kubali kupikia wanaume wenzie,Halafu kuhusu kuvunjiwa heshima halitokuwepo...Kama unataka mtu wa kusimamia kazi za shamba kweli nakushauri ungetafuta mwanaume.maana nimeona atafanya pia na kazi ya ulinzi .Wakorofi huwa wanadharau sana wakijua shamba linalindwa na mwanamke. Kama kupika mwanaume ndiyo mwenye uwezo wa kupikia wanadzengo siyo mwanake.
Unataka kumuingiza kwenye mazingira ya kunyanyasika kijinsia.yaani atanyanyasika sana kijinsia na hao wafanyakazi wako wengine.
Otherwise kama unadhani mwanamke ni mwaminifu ,utakuja kuwa disappointed vibay.kwa sababu ni standard 7,wengi wao wanadanganyika kirahisi,yaani anatapelika kirahis.utakuja kushituka shamba jeupe