Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Wakuuu habarini.

Naishi Mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia, natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi nitabakia na sehemu yangu.

Nyumba ina vyumba vitatu na sebule. Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia. Umri wangu miaka 34. Nimefanya hivyo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom