Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Nafikiri utapata...jamani Kama kuna binti yupo yupo mtaani mwambie Kuna nafasi imejitokeza yy aandae tu pesa ya Kodi ya miezi mitatu tu Kama ya majaribio...nafikiri washajaa pm mkuu?...
 
Una hangaika sana mkuu, najua huna mpango wa kuoa na unataka mbususu ya kula isiyokuwa na gharama na ambayo haikufatilii kwenye safari zako.

Sasa fanya hivi njoo Katoro Geita kuna vibinti vidogo vikali vitamu vinafanya kazi kwenye migahawa, chomoa kimoja kama gia ya kukipeleka Dar kwa ajili ya kukipa ajira kiandalie mshahara wa laki kwa mwezi na kwao acha laki na uchukue mawasiliano yao, utafaidi sana
 
Wakuuuu mmekuza mada shezi kabisa nataka binti kwa ajili ya usalama wa mali zangu nikiondoka sitaki mwanaume

Mabinti pia kuna wezi na ambao si watunzaji. Wa mali za watu au hata zake mwenyewe,kama upo serious na huna mpango wa kula kimasihara [emoji3][emoji3]mmama ndio anafaa [emoji2][emoji2] mara nyingi wanakua wanajielewa...
 
Wakuuu habarini.

Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu .
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.
Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Rafiki alimuachia nyumba demu akasafiri alivyorudi majirani wakamuuliza umekuja kututembelea leo kabla hajaingia ndani alichokikuta ndani acha tu
 
Back
Top Bottom