Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Wakuuuu mmekuza mada shezi kabisa nataka binti kwa ajili ya usalama wa mali zangu nikiondoka sitaki mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rafiki alimuachia nyumba demu akasafiri alivyorudi majirani wakamuuliza umekuja kututembelea leo kabla hajaingia ndani alichokikuta ndani acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…