Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Ukishakula tunda na Kodi utalipa wewe mwenyewe na kumfukuza hautaweza maana anabaki kuwa mpangaji wako mwenzio 😃😃😃😃 dogo tafuta hela wanawake wanajitongozesha siku hizi acha kuhangaika utalogwa bure.
mkuuuu mimi nalipa renti ya laki nne for moth unaamini bado sina pesa shezi kabisa
 
Tafuta Fisi ufungie zizi moja na mbuzi kukikucha salama basi ujue wazo lako litaenda vizuri
 
Wakuuu habarini.

Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu.

Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.

Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Mke wa rejareja
 
Wakuuuu mmekuza mada shezi kabisa nataka binti kwa ajili ya usalama wa mali zangu nikiondoka sitaki mwanaume

Sasa mkuu Binti akileta bwana ake then jambazi. Heri kijana ambaye utamfahanu na majukumu yake na Familia yake nk.
 
Wakuuu habarini.

Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu.

Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.

Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Aisee wewe kweli ni Putin brain combine trump
 
Kwanini awe binti sio wamama au wanaume wenzako
Kabla ya kuchukua mtu wa kushare naye nyumba watu hufikiria yafuatayo
1. Usafi wa mtu wa Kushare
2. Usalama wa mali zake
3. Uwezo wa kulipa Kodi tarajiwa bila usumbufu
3. Ukubwa wa familia mtu anayoweza kuwa nayo (kuja nayo)
4. Aina ya marafiki mtu anao weza kuwa nao (kumtembelea)

Ukipitia hizo sababu zote kwa makini unaweza kuona, kati ya Binti, Mama na wanaume wenzake, nani atakuwa na maksi nyingi
 
mkuuu wangu unaakili sana kama upo dar weekend kunabia zako.samakisamaki
 
Back
Top Bottom