Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Hii ni style ya madomozege wale wa tabiri nimekuitia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa hataki mke ila anataka kipochi manyoya cha bure mnakulana ila hakuna mkataba. Hii hufanywa sana na wanafunzi wanaosoma nje ya nchi wanashare room ili kuokoa gharama na wanakulana wakiwa na nyegezisi ungesema tu unatafuta mke
Mimi natafuta mtu waku share nae nyumba kigamboni. .by then nlikuwa naishi mkoani(Kilimanjaro)ila kwasasa nimeamia Dar.ktk kutafuta nyumba nimepata Kigamboni .nyumba nzima rooms 4,jiko,sebule,store nk nk ina geiti lake lenyewe.kodi ni 300k.Wakuuu habarini.
Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.
Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Unashangaa miaka 34?Miaka 34 huna familia?au ipo mbali?
Si umtaje tu TID mzee kigogo AKA wariobaUnashangaa miaka 34?
Nenda sinza pale kuna vijana wana 40-46 na vipara juu hawana hata mpango wa kuoa kazi kuvaa mapensi tu na kupiga kilaji viwanja
Nenda pale kawe kwa jamaa utapata mke.joline nitaftie plz
ww jinsia gani tukusaidieMimi natafuta mtu waku share nae nyumba kigamboni. .by then nlikuwa naishi mkoani(Kilimanjaro)ila kwasasa nimeamia Dar.ktk kutafuta nyumba nimepata Kigamboni .nyumba nzima rooms 4,jiko,sebule,store nk nk ina geiti lake lenyewe.kodi ni 300k.
Hataki dume la kumsugua
Binti anaweza kulinda nyumba dhidi ya wezi?Wakuuu habarini.
Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.
Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Mwamposa?Nenda pale kawe kwa jamaa utapata mke.
Iko kijumba kizima au kibovu ?Wakuuu habarini.
Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.
Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Itakua kibovu kama jina lake😂😂
Wakuuu habarini.
Naishi mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi ntabakia na sehem yangu.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule.Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia.Umri wangu miaka 34.
Nimefanya hvo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana .
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Wee sema unahitaji mke acha mbwembwe😂na mambo mengine