Natafuta binti wa kuzaa nae

Natafuta binti wa kuzaa nae

Mmoja ya vitu navyofikiliaga ni kuingia mktaba wa kishera na binti yeyote muelewa anizalie mtoto kisha nimpatie pesa ama amali yeyote tutakayokuwa tumekubaliana naye. Baada ya kujifungua tu anipatie mwanangu nimkuze na kumlea mwenyewe. Kwaiyo Mkuu upo akilini mwangu kabisa
 
hakuna mwanamke anayependa kuwa 'single mother' ikitokea ujue ni ajali.
 
Ukipata mmoja nipe na mimi, wakuzaa nae,maana mambo yashakua mambo
 
Kulea mtoto ni nini?Inahusisha vitu gani?Mtoto wako atapata muda na mapenzi ya wazazi wote wawili?Atapata mahitaji yote muhimu kwa makuzi yake?Tafakari mapema mkuu na kama vipi oa mwanamke mlee mtoto wenu kwa pamoja..Ina raha yake sana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
no true love!so kuoa ni sawa na kununua stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoja ya vitu navyofikiliaga ni kuingia mktaba wa kishera na binti yeyote muelewa anizalie mtoto kisha nimpatie pesa ama amali yeyote tutakayokuwa tumekubaliana naye. Baada ya kujifungua tu anipatie mwanangu nimkuze na kumlea mwenyewe. Kwaiyo Mkuu upo akilini mwangu kabisa
Mfikirie mtoto wako mkuu.

Kuna umuhimu mkubwa sana wa mtoto kulelewa na wazazi wake wote wawili.
 
Back
Top Bottom