Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh, kaka inaonekana una maumivu kama yangu, pole sana mkuu.sipendi stress za wanawake wa ulimwengu wa leo,so tukizaa mi ntalea yeye ata akiendelea na mambo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
no true love!so kuoa ni sawa na kununua stressKulea mtoto ni nini?Inahusisha vitu gani?Mtoto wako atapata muda na mapenzi ya wazazi wote wawili?Atapata mahitaji yote muhimu kwa makuzi yake?Tafakari mapema mkuu na kama vipi oa mwanamke mlee mtoto wenu kwa pamoja..Ina raha yake sana kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfikirie mtoto wako mkuu.Mmoja ya vitu navyofikiliaga ni kuingia mktaba wa kishera na binti yeyote muelewa anizalie mtoto kisha nimpatie pesa ama amali yeyote tutakayokuwa tumekubaliana naye. Baada ya kujifungua tu anipatie mwanangu nimkuze na kumlea mwenyewe. Kwaiyo Mkuu upo akilini mwangu kabisa
Mkuu, malezi ya wazazi wawili ni ya muhimu sana.Don't plan on raising your child on your own.sipendi stress za wanawake wa ulimwengu wa leo,so tukizaa mi ntalea yeye ata akiendelea na mambo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mu wazima nyote?
Niende straight to point: Awe na miaka kuanzia 18-25, sitojali dini,rangi wala kabila.
NB: Nataka wa kuzaa nae tu sina time na kuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app