Wakati nampango wa kuachana na haya mambo...Kila la kheri...
Nilikuuliza naona hujajibu!hahhahahhahahahh sawa naenda kufuta content zote nianze 1
Nilikujibu Mbona nikasema SIJAMALIZANA NAONilikuuliza naona hujajibu!
Je TCRA umemalizana nao? Je taratibu zao zikoje kwa mtu anaye fungua youtube channel?
Kitu gani?Msafisha mitaro au sio embu nielekeze kitu
Basi nishajuaKitu gani?
HahahahahBasi nishajua
Wapo ila issue ya kushirikiana ni kazi kweli kweli labda kama una muajiri.kwaiyo humu ndani hakuna mtu wa kushirikiana naye au makusudi
Wapo ila issue ya kushirikiana ni kazi kweli kweli labda kama una muajiri.
kwanini?Kwa mbali naona mods wanavyo kuangalia
Kwa mfano mtu asiye na vifaa unamsaidiaje ili muungane kuifanya hiyo kazi.kumuajiri labda aanze kulipwa baada ya miezi 2 au 3
hapo itabidi awe mwandishi wa content anitumie niweke na baada ya kupata kifaa kama pc ntamadd kama author awe anaweka moja kwa moja yeye mwenyeweKwa mfano mtu asiye na vifaa unamsaidiaje ili muungane kuifanya hiyo kazi.
Anha basi kazi njema mkuu bila shaka utawapatahapo itabidi awe mwandishi wa content anitumie niweke na baada ya kupata kifaa kama pc ntamadd kama author awe anaweka moja kwa moja yeye mwenyewe
Hiyo blogu yako inahusu nini zaidi? Au ni habari mchanganyiko hebu nipe mchanganuo zaidi pamoja na matunda yake baada ili ikinipendeza naweza omba access ili tujumuike wote.Pia vifaa sio lazima pc hata simu yako smart inaweza tumika