Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

Kwa mfano mtu asiye na vifaa unamsaidiaje ili muungane kuifanya hiyo kazi.
hapo itabidi awe mwandishi wa content anitumie niweke na baada ya kupata kifaa kama pc ntamadd kama author awe anaweka moja kwa moja yeye mwenyewe
 
Pia vifaa sio lazima pc hata simu yako smart inaweza tumika
Hiyo blogu yako inahusu nini zaidi? Au ni habari mchanganyiko hebu nipe mchanganuo zaidi pamoja na matunda yake baada ili ikinipendeza naweza omba access ili tujumuike wote.
 
Back
Top Bottom